Jumanne, 26 Januari 2021

Msanii kike maalufu duniani kutoka Marekani

Msanii kike maalufu duniani kutoka Marekani


 Kwa wasanii kuwa maarufu, Wapo wanaojulikana kwa kuwa na sauti ya pekee, kipaji halisi na utendaji kazi zao za sanaa. Wakati mwingine anapata umaarufu kwa kujulikana kwenye nchi atokayo, huku mwingine akijitengenezea jina lake mwenyewe kupitia utandawazi. Wapo wasanii maarufu ulimwenguni wakike wengi ambao wapo chini ya uongozi mzuri, ila wapo wanao ingiza mkwanja zaidi. Hii ni Top 10.

10. Lady Gaga (net worth: $220 Million)

Ana vituko na skendo ila anapata mkwanja mrefu katika wanamuzi wakike ulimwenguni. Mimbaji huyu wa Marekani alipata kuu album yake kwa dola milioni 28 na nyimbo zake kuuzwa kwa zaidi ya dola milioni 140 za Kimarekani

Related Posts

0 maoni: